Musiba siku hizi husikiki umejichimbia wapi?

Mara ya mwisho alipitisha bakuli la mchongo mtandaoni akiomba mwenye chochote amsaidie ili aweze kulipa madeni ya shangazi na jasusi mbobezi
 
Nimeboleka.. mala.... HAPO NIMEJUA WEEE NI MSUKUMA NA MZOGA WA PALE CHA .... UNAWAANDAMA...
 
Huwa kuna mida anaonekana chini ya daraja la Ubungo.
 
Tena sasa hivi hao ndio watamuua kabisa. Namshauri aanze masomo ya upadri akae zake misheni tu ndio pona yake [emoji2][emoji2]
[emoji28].kwa umli ule mpaka avae mkanda atakuwa anatembelea bakora.
 
Mara ya mwisho alipitisha bakuli la mchongo mtandaoni akiomba mwenye chochote amsaidie ili aweze kulipa madeni ya shangazi na jasusi mbobezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. jasus mbobez na shangazi ,sio watu wazuri aise,wanataka jamaa arukwe na akili aise,hiyo mi.bil.ataweza kuilipa kweli.
 
huy huku nimemkuta anatoa michozi
 
Kulkoni wote waliotaka upinzani ufe wamekufa wao
 
Kila Enzi na Zama zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…