Music and Video library

Music and Video library

Chewa91

Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
9
Reaction score
4
Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
 
Shinyanga kufika Mwanza n 6000 tu ukifka dampo pale kuna ofis kibao wanazouza movie izo kwa jumla season 700 mpka 800 ukiwa na 40000 mpaka 50000 n mtaji mzuri wa kuanzia kwako
 
Ishu ya CD kwa sahv inaelekea mwisho chunga usije ukapoteza pesa zako wekeza kwenye vitu vinavyoendana na wakati
 
Mkuu CD zinaenda kupotea, hiyo biashara ukiifanya ki usasa niamini ina pesa sana.
 
Back
Top Bottom