Mzee Mwafrika
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 203
- 104
Kama unamaanisha tablature zipo kibao online Google "jina la wimbo tab" e.g
"hotel california tab".
Pia kuna program inaitwa Guitar Pro ambayo unaweza kudownload nyimbo zake, kisha inaonyesha na hata inapiga muziki.
Halafu anayejua hapa bongo Electric Guitar inapatikana wapi anajulishe, pia wastani wa bei kama inajulikana.
Jamani kiukweli gitaa ndio kifaa cha mziki kinachovutia. Nataka nitafute mahali pazuri wanapofundisha kuplay guitars hapa bongo.
Dah apollo umelenga kwl me mwnyw natamani kuchezea gitaa ila ttz cjui wp pa kuanzia nikimanisha pa kujifunzia
usiwe na shaka. Hata mimi natafuta mahali pazuri wanapofundishia. Nikipata maeneo mazuri nitakujulisha ndugu yangu.
poa poa apollo jst inform me ukipata!
top shop karibu na lumumba ... iko mt wa uhuru wana vifaa vizuri vya muzikiacoustic guitar dogo ni 180000
electric guitar kuna 250000 ambayo inatumia umeme tu.. na 300000 inayotumia umeme na bila hata umeme pia inafaa. Niliwahi kuulizia kariakoo kwenye maduka ya vifaa vya muziki.