Music education

Music education

Mzee Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2007
Posts
203
Reaction score
104
Nimeamua kuileta hapa maana haifai kule kwenye entertainment!Hii thread maalamu kwa wenye elimu ya muziki (classical music) kubadilishana mawazo na vitu kama music sheets nk.

Mimi guitarist(classical),ndio naanza anza;nimegundua upungufu wa music sheets hasa za guitar online.NITASHUKURU MKINITUPIA JAPO CHACHE(attachements).

Hivi elimu ya mziki ipo bado kwenye mitaala yetu?Mimi sikupata bahati ya kufundishwa shuleni mliosoma mtueleze!
 
Kama unamaanisha tablature zipo kibao online Google "jina la wimbo tab" e.g
"hotel california tab".

Pia kuna program inaitwa Guitar Pro ambayo unaweza kudownload nyimbo zake, kisha inaonyesha na hata inapiga muziki.
screenshot.jpg

Halafu anayejua hapa bongo Electric Guitar inapatikana wapi anajulishe, pia wastani wa bei kama inajulikana.
 
Shukrani mkuu!Ngoja nijaribu hiyo Guitar pro!Sipo bongo mkuu na haya mambo wengine tumeanza ukubwani basi tabu tu!
 
Ya classic guitar ipo, ninayo moja hapa ya kaka yangu, amenunua bongo.
 
I play the guitar too... and that is not the only thing I play, if you know what I mean. lol
 
Kama unamaanisha tablature zipo kibao online Google "jina la wimbo tab" e.g
"hotel california tab".

Pia kuna program inaitwa Guitar Pro ambayo unaweza kudownload nyimbo zake, kisha inaonyesha na hata inapiga muziki.
screenshot.jpg

Halafu anayejua hapa bongo Electric Guitar inapatikana wapi anajulishe, pia wastani wa bei kama inajulikana.

acoustic guitar dogo ni 180000
electric guitar kuna 250000 ambayo inatumia umeme tu.. na 300000 inayotumia umeme na bila hata umeme pia inafaa. Niliwahi kuulizia kariakoo kwenye maduka ya vifaa vya muziki.
 
Jamani kiukweli gitaa ndio kifaa cha mziki kinachovutia. Nataka nitafute mahali pazuri wanapofundisha kuplay guitars hapa bongo.
 
Jamani kiukweli gitaa ndio kifaa cha mziki kinachovutia. Nataka nitafute mahali pazuri wanapofundisha kuplay guitars hapa bongo.

Dah apollo umelenga kwl me mwnyw natamani kuchezea gitaa ila ttz cjui wp pa kuanzia nikimanisha pa kujifunzia
 
Dah apollo umelenga kwl me mwnyw natamani kuchezea gitaa ila ttz cjui wp pa kuanzia nikimanisha pa kujifunzia

usiwe na shaka. Hata mimi natafuta mahali pazuri wanapofundishia. Nikipata maeneo mazuri nitakujulisha ndugu yangu.
 
acoustic guitar dogo ni 180000
electric guitar kuna 250000 ambayo inatumia umeme tu.. na 300000 inayotumia umeme na bila hata umeme pia inafaa. Niliwahi kuulizia kariakoo kwenye maduka ya vifaa vya muziki.
top shop karibu na lumumba ... iko mt wa uhuru wana vifaa vizuri vya muziki
 
Back
Top Bottom