Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
This has been on repeat for the past four hours!
Mary J katalikiana na mumewe si muda mrefu ulopita.
Huwa wanasema akiwa kwenye hali ya huzuni huzuni huwa anatoa vitu vikali sana.
Hivyo naisubiri kwa hamu kubwa albamu yake ijayo.
Naamini hatoniangusha kama ambavyo hajaniangusha kwa miaka 24 iliyopita.
But this is my mood today...Magic City Saturday. Finna go make it rain before all the big ballers come on😀.
Hatari sana hilo pini..Hii pia iko poa.
Iko poa sana.....Hatari sana hilo pini..
Wakina nani?Ni kweli niliona hiyo ya kuachana kwao, wengi walishangaa sana maana penzi lao nwalidhani kwamba halina matatizo. Na hakukuwa na rumors zozote zile kuhusu kutoelewana kati ya wanandoa hawa.