Music makes us feel good

Music makes us feel good

Mary J katalikiana na mumewe si muda mrefu ulopita.

Huwa wanasema akiwa kwenye hali ya huzuni huzuni huwa anatoa vitu vikali sana.

Hivyo naisubiri kwa hamu kubwa albamu yake ijayo.

Naamini hatoniangusha kama ambavyo hajaniangusha kwa miaka 24 iliyopita.

But this is my mood today...Magic City Saturday. Finna go make it rain before all the big ballers come in😀.

  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli niliona hiyo ya kuachana kwao, wengi walishangaa sana maana penzi lao nwalidhani kwamba halina matatizo. Na hakukuwa na rumors zozote zile kuhusu kutoelewana kati ya wanandoa hawa.

Mary J katalikiana na mumewe si muda mrefu ulopita.

Huwa wanasema akiwa kwenye hali ya huzuni huzuni huwa anatoa vitu vikali sana.

Hivyo naisubiri kwa hamu kubwa albamu yake ijayo.

Naamini hatoniangusha kama ambavyo hajaniangusha kwa miaka 24 iliyopita.

But this is my mood today...Magic City Saturday. Finna go make it rain before all the big ballers come on😀.

Ni kweli niliona hiyo ya kuachana kwao, wengi walishangaa sana maana penzi lao nwalidhani kwamba halina matatizo. Na hakukuwa na rumors zozote zile kuhusu kutoelewana kati ya wanandoa hawa.
Wakina nani?
 
Back
Top Bottom