exactly mkuu with mihogo ya kukaanga na kachumbari.Did I take you back to your childhood at Forodhani primary school!?
Unashushia na Fanta ya baridi, hapo kihandsome boy kikikulipia unaona umepata zinga la treat.Hahahahaha lol! Umenikumbusha mihogo ya kukaanga na pilipili ya unga mie kachumbari nilikuwa si mpenzi sana.
BAK wewe acha tu, si kuhongwa na yeye anataka kujionyesha kidume anajua ku take care, kibaya umshinde kwenye test darasani anaconda vibaya mno.Umehongwa mihogo ya kukaanga na kachumbari lol! Pocket money yako umesave kwenda kula ice cream pale nanihii ππ