BAK wewe acha tu, si kuhongwa na yeye anataka kujionyesha kidume anajua ku take care, kibaya umshinde kwenye test darasani anaconda vibaya mno.
Na asubuhi si ajabu alivizia wallet ya msure wakati anaoga.
Sisi mnyonge wetu alikuwa mother, msure alikuwa anadai usichokuwa nacho hukihitaji, vyote unavyohitaji nimenunua. Sasa mambo ya walk man jamani wakati picnic watu wote wanazo.Hahahaha Umeona eh! Hii kitu sikuwahi kuifanya ila wakati mzuri wa kumpiga bomu msure kwa pocket money akirudi huku yuko nyingi basi hapo hapo unapiga kigongo basi pocket money za wiki mbili unaweza kupewa kwa siku moja.
Nimekupenda bure.
Nimekupenda bure.
Thanks mkuu.
Merry Christmas KuiWoi!
Merry Christmas Kui