Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie Bi Hillary kokote alipo![emoji1]
Usiniseme maana huyo ni zaidi ya kanda bongoman ataniimba balaaa..haha!, Honey Faith ntakusemelea kwa atoto .🙂
..kuanzia 3:16..(SMDH)!
Una bahati leo kuna simanzi JF. But am saving you for later. 🙂
Usiniseme maana huyo ni zaidi ya kanda bongoman ataniimba balaaa
Iwe siri tu jamani yasimfike yule mtoto nitakoma[emoji12] [emoji12]Tehe Teh!, eti Kanda Bongoman, akikusikia mie simo. Maana ata rap mpaka kesho. 😀
Kui imebidi nikiangalie vizuri hicho kisegment actually ni kuanzia 3.03 to 3.39 minute B ananipa raha sana lol! Sijui kwa nini hawaimbi angalau nyimbo moja kwa mwaka. Nyimbo za hawa wawili zinakuwa zimetulia sana.
Iwe siri tu jamani yasimfike yule mtoto nitakoma[emoji12] [emoji12]
mkuu hiyo instrument ya hiyo ngoma ya chaka khan ilitumika kama soundtrack ya movie ipi?
Umeona eh! Mie nadhani hata Diamond na Zari wakiamua kutoa nyimbo itapata umaarufu mkubwa sana kama watatulia na kuja na kitu cha uhakika.