Music makes us feel good

Music makes us feel good

Unajua huo ndiyo ukweli usiukimbie tafadhali. Usingizi umekuruka ili usipitwe na yanayojiri JF. [emoji3][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi kalale ukiamka nitakuhadithia.

Haujaachaga kunisingizia tu?
 
Unajua huo ndiyo ukweli usiukimbie tafadhali. Usingizi umekuruka ili usipitwe na yanayojiri JF. [emoji3][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi kalale ukiamka nitakuhadithia.
Nishaamka naelekea shamba, mvua imenyesha.
 
Njooni huku kwangu Mfaranyaki tutakula mahindi ya kuchoma/ kuchemsha firigisi za kuku kienyeji na kushushia kwa ulanzi. Debe kama kazi huku ukitaka Tabu ley, Ndala Kasheba au za kuruka majoka zote zipo tutakesha mpaka majogoo club.

Aaaah nyie sio wenzetu bwana, kui tulimuomba angalau atupeleke hata kule chato nasi tupate japo ka eksipozha kadogo na Heaven Sent wangu akatukatalia.
 
Njooni huku kwangu Mfaranyaki tutakula mahindi ya kuchoma/ kuchemsha firigisi za kuku kienyeji na kushushia kwa ulanzi. Debe kama kazi huku ukitaka Tabu ley, Ndala Kasheba au za kuruka majoka zote zipo tutakesha mpaka majogoo club.
Oooh afadhali, tuje lini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom