Bado, ni mbali.Milango iko wazi wakati wowote 🙂 Sasa hujafika shambani tu? maana naona bado uko humu.
Heaven Sent i feel Nigerian.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yaani mimi!![emoji28] [emoji23] [emoji23]
Yani wewe!
AsanteMkuu samahani kwa kuchelewa kukujibu. Nenda utube chagua wimbo uutakao copy link kisha rudi hapa paste na tuma hiyo link yako. Zamani ilikuwa step nyingi kidogo kuliko sasa. Jaribu Mkuu.