Can't get enough of this song π
Keep the good music alive.Me too and and the video is so beautiful
Awww my favourite song of all timeeeeeeee...πππ₯°ππ
Hahahah umenikumbusha mbalii mfaranyaki nikakumbuka na ile avatar ya Jordan amevaa hereni najua unaikumbuka.ππππ Mzima weye? Sikuweka masharti kwamba wengine hawaruhusiwi kupost.
Thank you ππ½ Madam Prishaz. Always from Planet Earth AKA Mfaranyaki ππ
Hahahah umenikumbusha mbalii mfaranyaki nikakumbuka na ile avatar ya Jordan amevaa hereni najua unaikumbuka.
Uzi tuliazimia toka awali tukuachie uwe sterling, usiniulize hicho kikao tulikaa wapi na nani...π₯
Ha ha ha ha nimecheka kwa sautii eti maccmπ halafu unategemea kwa huu wimbo kweli nisiwe mwenyekiti wa kikao! Umenifurahisha sana kunywa kahawa kwa bill yangu.πππππ Jordan The GOAT π
Nadhani na wewe ndiye uliyekuwa Mwenyekiti wa kikao na wajumbe wote baada ya wewe wa kutoa ombi sterling wa uzi huu awe BAK wakaitikia kama maccm ndiyooooooo π€£π€£π€£π€£π€£