Music makes us feel good

Music makes us feel good

😂😂😂😂 Mzima weye? Sikuweka masharti kwamba wengine hawaruhusiwi kupost.

Thank you 🙏🏽 Madam Prishaz. Always from Planet Earth AKA Mfaranyaki 😜😜

BAK ulitelekeza thread tutakutoza fine.

Hail from this side.
 
😂😂😂😂 Mzima weye? Sikuweka masharti kwamba wengine hawaruhusiwi kupost.

Thank you 🙏🏽 Madam Prishaz. Always from Planet Earth AKA Mfaranyaki 😜😜
Hahahah umenikumbusha mbalii mfaranyaki nikakumbuka na ile avatar ya Jordan amevaa hereni najua unaikumbuka.
Uzi tuliazimia toka awali tukuachie uwe sterling, usiniulize hicho kikao tulikaa wapi na nani...🥂
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂 Jordan The GOAT 🐐
Nadhani na wewe ndiye uliyekuwa Mwenyekiti wa kikao na wajumbe wote baada ya wewe wa kutoa ombi sterling wa uzi huu awe BAK wakaitikia kama maccm ndiyooooooo 🤣🤣🤣🤣🤣

Ha ha ha ha nimecheka kwa sautii eti maccm😂 halafu unategemea kwa huu wimbo kweli nisiwe mwenyekiti wa kikao! Umenifurahisha sana kunywa kahawa kwa bill yangu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom