Music makes us feel good

Music makes us feel good

Kumbe nawe unapenda miziki ya Wamarekani eeh....:becky:
Kumbe na huku upo teh :becky:...mimi napenda mno music hata sijui nisemeje yaani music influences my daily life most of my time i listen to music ofcourse when I´m not working 🙂 hata nikiwa sina furaha nikisikiliza mziki nakuwa na amani....
 
  • Thanks
Reactions: BAK

I am ubiquitous like a bacterium.
 
Last edited by a moderator:
Mie mpaka job music kama kazi ila sauti inakuwa kwa mbaliii.

Kumbe na huku upo teh :becky:...mimi napenda mno music hata sijui nisemeje yaani music influences my daily life most of my time i listen to music besides ofcourse when I´m not working 🙂 hata nikiwa sina furaha nikisikiliza mziki nakuwa na amani....
 
Okay profession ethics at their best....ila nikiwa naendesha masafa marefu kuna baadhi ya nyimbo huwa nacheza nazo mbali maana huwa zinanipa motisha wa kukanyaga mafuta kuliko vile inavyostahili (above speed limit) nyimbo kama hii hapa.

Kazi zingine haziruhusiwi hata kushika sim itakuwa music kibarua kitaota nyasi 🙂
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom