Music Producer anatafuta Studio kwa ajili ya kutengeneza Muziki''

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
902
Reaction score
1,545
Music Producer anatafuta Studio kwa ajili ya kutengeneza muziki wake.. Baadhi ya wasanii ambao tayari amekwishafanya nao kazi ni Alikiba, Abdukiba, Alex wa machejo na wengineo.

Studio isiwe nje ya Dar es salam''' wasiliana naye kwa simu namba 0764361843'''
 
Tupe majina ya tracks ulizofanya si majina ya wasanii tu
 
Mi nilikuwa Producer niliacha kazi ngumu ile balaaaa!!!! Mungu akubariki kijana nakuombea upate uendelee kupigana hapa Mjini''
 
Back
Top Bottom