Music systems

Music systems

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,585
Reaction score
1,073
Music system za kizamani...
System2.jpg

VS
System za kisasa (home theater)...
Samsung-HT-AS730--angle1_610x435.jpg
 
hilo la pili freshi kaka hasa upate mzigo wa harman kardon
 
Zama zetu bila kununua full set ijaze rack hujakamilisha. Siku hizi home theater (10 speakers) inatosha! LOL
 
Umeleta mjadala watu walinganishe au?

Music system za kizamani
:
gramophone.jpg

Nilikuwa namaanisha hivyo mkuu (highlited)...

Kwenye masuala ya ubora system zipi zilikuwa bomba zaidi?
 
Kwanza Music system za kizamani labda ungeweka kitu ilikuwa inaitwa gramophone, kama hii hapa, ndo ningekuelewa

:
gramophone.jpg

Nakufagilia mkuu Pakajimmy kwa kunirudisha 47, no 42!!
Si wengi wanafahamu kuwa zilikuwepo gramaphones enzi za mababu zetu , na ukiwa nazo wewe uliitwa mkali!
Si redio nyingi hapa nchini zenye miziki ile ya GV kuanzia GV1-GV10, na zilikuwa za kiCuba etc.
Ukiwa na mtambo kama wa hapa chini wewe mkali.
 
Back
Top Bottom