Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Historia ya afrika tunadanganywa na kufichwa mengi sana, kwa mfano shuleni sikuwahi kufundishwa kwamba muslims walivamia Christian Ethiopia kwa lengo la kuitawala ethiopia, nilifundishwa tu ukoloni wa "kizungu" lkn ukweli ni kwamba muslims walianza kuivamia afrika.
Muslims chini ya imam ahmed walivamia Christian Ethiopia mwaka 1529 vita iliyodumu mpaka mwaka 1540 baada ya muslims kushindwa, Christian Ethiopia waliomba msaada ktk Ureno ambapo walisaidia to keep Ethiopia Christian, vinginevyo Ethiopia ilikuwa iende islam.
Muslims are not victims kama tunavyoaminishwa. inaitwa Ethiopian–Adal War icheki kama ukipenda unaweza kujifunza kitu.
We have been lied to ...