vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99

Huyu Benito mussollin alivokufa akiwa na mistress.....wake.....Daah kuna rafiki angu mmoja alinisimulia eti huyu ni alikua an roho ngumu hakuna eti kipindi hicho alichokua kwenye vita wale aliokua anpigana nao sa cjui ndo wajerumani au sikumbuki ila walimpiga yeye na jeshi lake sasa katika kuhahakisha kama jeshi la musolini limekufa lote wakachukua chuma kama kile cha kuchomea mishikaki halafu wanmchoma mtu jichoni........sas huyu musolini alikua hajafa lakini alivochomwa kile chuma alikua KIMYA.....hajatikisika hajatikisa hata unywele.....wale wanajeshi wakajua amekufa kumbe wala...... wakamuacha akaamka akatoroka na kwenda kuunda jeshi lingine......sina uhakika kama kweli.....nimesimuliwa tuuu....