MUSOLIN alikua na roho ngumu.....

MUSOLIN alikua na roho ngumu.....

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
PICT0618.jpg

Huyu Benito mussollin alivokufa akiwa na mistress.....wake.....Daah kuna rafiki angu mmoja alinisimulia eti huyu ni alikua an roho ngumu hakuna eti kipindi hicho alichokua kwenye vita wale aliokua anpigana nao sa cjui ndo wajerumani au sikumbuki ila walimpiga yeye na jeshi lake sasa katika kuhahakisha kama jeshi la musolini limekufa lote wakachukua chuma kama kile cha kuchomea mishikaki halafu wanmchoma mtu jichoni........sas huyu musolini alikua hajafa lakini alivochomwa kile chuma alikua KIMYA.....hajatikisika hajatikisa hata unywele.....wale wanajeshi wakajua amekufa kumbe wala...... wakamuacha akaamka akatoroka na kwenda kuunda jeshi lingine......sina uhakika kama kweli.....nimesimuliwa tuuu....
 
Hiyo story uliyotusimulia hapo sio ya kweli hata klidogo.
Kuna story inayofanana na hiyo lakini inamhusu Mulla yule best wa Osama bin Laden.
Ni uzushu tu.
 
hiyo story uliyotusimulia hapo sio ya kweli hata klidogo.
Kuna story inayofanana na hiyo lakini inamhusu mulla yule best wa osama bin laden.
Ni uzushu tu.

mi mwenyewe nimesimuliwa .....
 
Hiyo story uliyotusimulia hapo sio ya kweli hata klidogo.
Kuna story inayofanana na hiyo lakini inamhusu Mulla yule best wa Osama bin Laden.
Ni uzushu tu.
Na hata mimi naona kama inafanana na story ya Moshe Dayani yule Waziri wa Israel...aliwahi kutobolewa jicho sijui na watu gani vile na bado jamaa akauchuna tu kimya...
 
Back
Top Bottom