Musoma mtabadilika lini?

Kiufupi ukivuka mto mara tu! Kwenda upande ule mpaka sirari huwezi kuta mmasai eti! Anafuga kwanza sijawahi ona masai Tarime Sijui shida ni nini?
Sio tarime tu bali ni mkoa wa mara mzima sababu waikizu walikuwa wakiwachoma mishale na kuchukua ng'ombe zao so mpaka leo huwezi wakuta mkoa wa mara wakifuga labda uwakute mjini wakiuza dawa tu
 
Mcheza kwao hutuzwa...kama si kwenu basi pole. Siye wa Musoma haya unayoyaandika nasi tunayaona kila mahali Tanzania hapa.

Je, hakuna lolote lililo chanya kwa watu wa Musoma?
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hizo si ni tabia za wajita??
 
Kama sio Wakurya basi ni Waluo

Wajita hawa ndio zao ila tatizo ile dini yao ndio chanzo
 
Mkiiongelea wa musoma mmewakubali, kuna watu wanahonga ili wawe wenyeji waMara
 
Hizo si ni tabia za wajita??
Hiyo ya 'karibu musoma' ndio imekuletea matatizo. Ulipenda ukaribishwe, jambo ambalo huko halipo, fika endelea na mambo yako. Mpakani mwa Mwanza na Mara ulishindwa kukisoma kibao kilichoandikwa 'SASA UNAINGIA MKOA WA MARA' ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…