mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Hizi ni sifa za umasikini
Usiseme hivyo, Mze Wassira atakukamata na kukufungulia kesi kuwa umemdhalilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni sifa za umasikini
KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !
Haya mkuu pole sanaNimekusahe bure maana hata baba alinikana kwa jinsi nilivyokuwa nimeumka uso kwa marungu.
Usiutetee tena wanaume ndio wajungulikaji wakubwaNadhani niseme tu kua mkoa wa mara ikiwemo musoma haina desturi ya umbea umeacha mikoa mingi sana
Any way yawezekana umeamua kupiga madongo mji wetu....!
ACHA UMBEA WA MITANDAONI UTAVALISHWA KHANGA KIJANA WA KIUME
Uko sawa kbs, nimeishi huko nawafaham vzr wenyeji wake.KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !
Ona tabia zao, babu Zima unashindana Na kasichana
Wivu tu kwa sababu waziri mkuu yupo musomaKARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !
Kama manabii walisema wewe Ni nani usisemwe....usiogope kusemwa chapa kaziYaani karne hii bado tu pana watu wanawaza NEGATIVELY kama hivi .... Don't you have something POSITIVE & PRODUCTIVE to do instead of WASTING YOUR PRECIOUS TIME ....