Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faza alisoma hapo, alinipa stori enzi hizo panaitwa Musoma Alliance kipindi hiko cha Ujamaa wa chama kimoja, hakika ni shule nzuri sana na yenye historia kubwa sanaWanatech karibuni kwenye uzi wetu mpya ambao utakuwezesha ku'share stori ama tukio lolote unalolikumbuka kipindi unasoma pale tech.
Welcome Technical Boys.
Hakukusimulia juu ya sehemu iitwayo Mwigobero?Faza alisoma hapo, alinipa stori enzi hizo panaitwa Musoma Alliance kipindi hiko cha Ujamaa wa chama kimoja, hakika ni shule nzuri sana na yenye historia kubwa sana
Mojawapo ya kitu cha kuvutia alichonisimulia ni kuhusiana na kupenda kwao kuogelea,
walikuwa wanachomoka hapo skuli kisha wanaenda ziwani kisha wanaogelea kutokea upande mmoja mpaka kule wa pili (hiyo sehemu aliyonionesha ilikuwa mbali kweli ila ndio hivyo, natumai waliosoma miaka hiyo ya 70's watatupa mrejesho namna ilivyokuwa zama hizo)
Nyarusurya hapo🔥Faza alisoma hapo, alinipa stori enzi hizo panaitwa Musoma Alliance kipindi hiko cha Ujamaa wa chama kimoja, hakika ni shule nzuri sana na yenye historia kubwa sana
Mojawapo ya kitu cha kuvutia alichonisimulia ni kuhusiana na kupenda kwao kuogelea,
walikuwa wanachomoka hapo skuli kisha wanaenda ziwani kisha wanaogelea kutokea upande mmoja mpaka kule wa pili (hiyo sehemu aliyonionesha ilikuwa mbali kweli ila ndio hivyo, natumai waliosoma miaka hiyo ya 70's watatupa mrejesho namna ilivyokuwa zama hizo)Ya
Hii kwa kumbukumbu zangu hapana, ila mitaa michache ya hapa town ndio na kule ambako nafikiri ni Kariakoo ya sasa ijapokuwa enzi hizo naona yalikuwa mapori tu au pengine vijumba kadhaa vya wavuviHakukusimulia juu ya sehemu iitwayo Mwigobero?
Tupo mkuu, Dobeye aliondoka pale bila kuaga. Nakumbuka Kuna siku nilikutana nae kigoma mjini nikamsalimia baada ya salamu akaniuliza unasoma/umesoma shule Gani nikamwambia musoma tech aise alifura balaa.Wanatech karibuni kwenye uzi wetu mpya ambao utakuwezesha ku'share stori ama tukio lolote unalolikumbuka kipindi unasoma pale tech.
Welcome Technical Boys.
Baada ya hapo mkasamehewa ama ndo kila mtu alitafuta shule yakeMwaka 2008 tuliliamsha pale Musoma Tech baada ya mmoja wa wetu kuchimwa bisibisi na kijana wa mtaani
Fujo iliianza saa mbili hadi usiku wa manane wanafunzi na raia
Kesho yake tukagoma kula siku nzima na kesho yake tena
Akaja mkuu wa mkoa tukafukuzwa shule nzima nzima miezi mitatu
Dobeye ndo alikuwa mkuu wa shule
Tulirudishwa baada ya miez 3 kupitia tangazo radioniBaada ya hapo mkasamehewa ama ndo kila mtu alitafuta shule yake
Nakumbuka 2013 kama sikosei Mara tulibeba kombe iloIla kwenye UMISETA mlikuwa mnafyata mkia, kiufupi Mara hamkuwa mkituweza kwa lolote