Musoma Technical High School

Gee kay

Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
15
Reaction score
2
wale wote waliopitia Musoma tech tujikumbushe kidogo maisha ya pale
 
Da weacha tu ilikuwa kama iraki kipindi chetu! Lakini kufaulu lazima!
 
we acha tu ilijulikana kama marking scheme ya mkoa wa Mara
 
:angry: mnazungumzia musoma technical high school! ndiyo ipi hiyo tena? au mna maana ya musoma alliance secondary school (mass) iliyopo nyarusuria karibu na kambi ya wakoma walikosoma akina mabere marando, mukandala wa chuo kikuu, jaji kipenka musa, nyaronyo kicheere, philip marmo, prof. katunzi na wengineo?
miaka ya 60, 70 na kidogo 80 ilikuwa kiboko, mgoma kila mei 12, ugomvi na vita na maloko wa mara sec kila term na urafiki mkubwa na jeshi kiabakari na uhasama mkubwa na mufufu (musoma ffu).
 

.....umemsahau pinda nae alisoma hapo....
sisi ni tech enzi ya dobeye mpk kwa h.master muta....
 

musoma alliance secondary school
musoma technical secondary school
musoma technical high school

ndio hiyo hiyo moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…