Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wale wote waliopitia Musoma tech tujikumbushe kidogo maisha ya pale
:angry: mnazungumzia musoma technical high school! ndiyo ipi hiyo tena? au mna maana ya musoma alliance secondary school (mass) iliyopo nyarusuria karibu na kambi ya wakoma walikosoma akina mabere marando, mukandala wa chuo kikuu, jaji kipenka musa, nyaronyo kicheere, philip marmo, prof. katunzi na wengineo?
miaka ya 60, 70 na kidogo 80 ilikuwa kiboko, mgoma kila mei 12, ugomvi na vita na maloko wa mara sec kila term na urafiki mkubwa na jeshi kiabakari na uhasama mkubwa na mufufu (musoma ffu).

Hope wewe ulikuwa Misoma Alliance those years ya mwalimu Nashon Otieno The Head Master. Hahahahaaaaa.Dr. Sanawa Paul Birore.alikuepo mzee matogolo mchinjo mwanzo mwisho