Alianza kwa kupuuzwa sana na kudhihakiwa kwa neno 'mikimbio'. Sasa amekuwa regular starter na ameisaidia sana Yanga ktk mechi mfululizo alizocheza. Yanga v TP Mazembe alifunga goli muhimu la kwanza.
Yanga v Bamako alitoa assist ya goli la Mayele, na leo amefunga goli muhimu lililoirudisha mchezoni timu yake baada ya kutanguliwa na Geita mapema mwanzoni mwa mchezo. Hakika ni mchezaji mpambanaji na ataisaidia sana Yanga.
Bada ya kuanza kwa kuzodolewa, sasa ni shujaa