Musonda: From zero to hero

Musonda: From zero to hero

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Alianza kwa kupuuzwa sana na kudhihakiwa kwa neno 'mikimbio'. Sasa amekuwa regular starter na ameisaidia sana Yanga ktk mechi mfululizo alizocheza. Yanga v TP Mazembe alifunga goli muhimu la kwanza.

Yanga v Bamako alitoa assist ya goli la Mayele, na leo amefunga goli muhimu lililoirudisha mchezoni timu yake baada ya kutanguliwa na Geita mapema mwanzoni mwa mchezo. Hakika ni mchezaji mpambanaji na ataisaidia sana Yanga.

Bada ya kuanza kwa kuzodolewa, sasa ni shujaa
 
Yupo shirikisho la waliofeli [emoji15][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Alianza kwa kupuuzwa sana na kudhihakiwa kwa neno 'mikimbio'. Sasa amekuwa regular starter na ameisaidia sana Yanga ktk mechi mfululizo alizocheza. Yanga v TP Mazembe alifunga goli muhimu la kwanza. Yanga v Bamako alitoa assist ya goli la Mayele, na leo amefunga goli muhimu lililoirudisha mchezoni timu yake baada ya kutanguliwa na Geita mapema mwanzoni mwa mchezo. Hakika ni mchezaji mpambanaji na ataisaidia sana Yanga.

Bada ya kuanza kwa kuzodolewa, sasa ni shujaa
Huwajui madunduka wao wanaamini wachezaji wazuri wapo kwao na si Yanga si ajabu ukawasikia wakisema Kibu zaidi ya Moloko[emoji23][emoji23]
 
Combination yake na Mayele ni moja ya combination bora zaidi endapo Mayele ataachana na tabia ya ubinafsi na kuongeza umakini. Endapo Mayele angekuwa makini mpaka saaa Musonda angekuwa na assist zaidi ya tano.
Saana
 
Alianza kwa kupuuzwa sana na kudhihakiwa kwa neno 'mikimbio'. Sasa amekuwa regular starter na ameisaidia sana Yanga ktk mechi mfululizo alizocheza. Yanga v TP Mazembe alifunga goli muhimu la kwanza. Yanga v Bamako alitoa assist ya goli la Mayele, na leo amefunga goli muhimu lililoirudisha mchezoni timu yake baada ya kutanguliwa na Geita mapema mwanzoni mwa mchezo. Hakika ni mchezaji mpambanaji na ataisaidia sana Yanga.

Bada ya kuanza kwa kuzodolewa, sasa ni shujaa
Sasa hivi wameamia kwenye hat trick wakimlinganisha baleke na mayele🤣🤣🤣Awa jamaa wanafurahisha sana wanazo element zote za utindio wa ubongo
 
Ila msondo ngoma hamuwezi Lazarus kambole yule alikuwa next level kwenye kutupia pale yanga sema majeraha tu na bigirima akiwa fit team itakuwa tishio.
 
Ila msondo ngoma hamuwezi Lazarus kambole yule alikuwa next level kwenye kutupia pale yanga sema majeraha tu na bigirima akiwa fit team itakuwa tishio.
Jikite kwenye mada!
 
Sasa hivi wameamia kwenye hat trick wakimlinganisha baleke na mayele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Awa jamaa wanafurahisha sana wanazo element zote za utindio wa ubongo
Sahihi kabisa
 
Ila msondo ngoma hamuwezi Lazarus kambole yule alikuwa next level kwenye kutupia pale yanga sema majeraha tu na bigirima akiwa fit team itakuwa tishio.
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom