Combination yake na Mayele ni moja ya combination bora zaidi endapo Mayele ataachana na tabia ya ubinafsi na kuongeza umakini. Endapo Mayele angekuwa makini mpaka sasa Musonda angekuwa na assist zaidi ya tano.Anamengi zaidi ya kutufanyia
Huwajui madunduka wao wanaamini wachezaji wazuri wapo kwao na si Yanga si ajabu ukawasikia wakisema Kibu zaidi ya Moloko[emoji23][emoji23]Alianza kwa kupuuzwa sana na kudhihakiwa kwa neno 'mikimbio'. Sasa amekuwa regular starter na ameisaidia sana Yanga ktk mechi mfululizo alizocheza. Yanga v TP Mazembe alifunga goli muhimu la kwanza. Yanga v Bamako alitoa assist ya goli la Mayele, na leo amefunga goli muhimu lililoirudisha mchezoni timu yake baada ya kutanguliwa na Geita mapema mwanzoni mwa mchezo. Hakika ni mchezaji mpambanaji na ataisaidia sana Yanga.
Bada ya kuanza kwa kuzodolewa, sasa ni shujaa
Tabu sanaWe huwajui makokwinyo?
Walimzodoa Mayele
Wakamzodoa Aziz
Wakamzodoa Musonda
Haki hadi walimfananisha Mayele na Kibu!
Na yupo tayariAnamengi zaidi ya kutufanyia
SaanaCombination yake na Mayele ni moja ya combination bora zaidi endapo Mayele ataachana na tabia ya ubinafsi na kuongeza umakini. Endapo Mayele angekuwa makini mpaka saaa Musonda angekuwa na assist zaidi ya tano.
Ni kweliHuwajui madunduka wao wanaamini wachezaji wazuri wapo kwao na si Yanga si ajabu ukawasikia wakisema Kibu zaidi ya Moloko[emoji23][emoji23]
Sasa hivi wameamia kwenye hat trick wakimlinganisha baleke na mayele🤣🤣🤣Awa jamaa wanafurahisha sana wanazo element zote za utindio wa ubongoAlianza kwa kupuuzwa sana na kudhihakiwa kwa neno 'mikimbio'. Sasa amekuwa regular starter na ameisaidia sana Yanga ktk mechi mfululizo alizocheza. Yanga v TP Mazembe alifunga goli muhimu la kwanza. Yanga v Bamako alitoa assist ya goli la Mayele, na leo amefunga goli muhimu lililoirudisha mchezoni timu yake baada ya kutanguliwa na Geita mapema mwanzoni mwa mchezo. Hakika ni mchezaji mpambanaji na ataisaidia sana Yanga.
Bada ya kuanza kwa kuzodolewa, sasa ni shujaa
Jikite kwenye mada!Ila msondo ngoma hamuwezi Lazarus kambole yule alikuwa next level kwenye kutupia pale yanga sema majeraha tu na bigirima akiwa fit team itakuwa tishio.
Sahihi kabisaSasa hivi wameamia kwenye hat trick wakimlinganisha baleke na mayele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Awa jamaa wanafurahisha sana wanazo element zote za utindio wa ubongo
Sawa sawaIla msondo ngoma hamuwezi Lazarus kambole yule alikuwa next level kwenye kutupia pale yanga sema majeraha tu na bigirima akiwa fit team itakuwa tishio.
SaanaPressing yake ni ya viwango vya juu [emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app