Musonda hamna mchezaji mle, promo nyingi uwezo kisoda, heri ya Makambo na Sogne

Potelea mbali
Nb naomba unitajie chezaji la utopolo aliewafunga wazungu bao 2
Si hatuna time na mzungu hata Kinondoni wapo kibao, tunaweza kuwakusanya na kuwafunga na ww ukija na kubomoa.
 
Magoli mawili mpaka sasa
Assist ngapi anazo ukilinganisha na ile milioni 400 mliomsajilia?
Aziz K ana goal 7 paka Sasa, Goal 4 ligi ya Nbc na goal 3 mashindano ya caf. Pia ana assist 5, 3 kwenye ligi ya Nbc 2 michuano ya caf
Halafu hebu jielimishe kwanza kuhusu mpira wa miguu maana umekuwa ukibishana kama mtu asiyejua chochote kuhusu football[emoji848][emoji848]
 
Si hatuna time na mzungu hata Kinondoni wapo kibao, tunaweza kuwakusanya na kuwafunga na ww ukija na kubomoa.
Kama ni rahisi mngeqakusanya pale avic town mngewapa mapumba na unga halafu mngecheza nao mbona easy tu
 
Mwanaume kua na kiherehere ni hatari kwa afya
 
Je kwa ile milioni 400 mliomsajilia kama manvyosema anastahili kudeliver hicho ulichokiandika hapa? Mbona anashindwa na ntibanzonkinza kwa kila kitu magoli+assist
 
Mchezaji mzuri sana yule, binafsi nimeshangaa anavyo onenekana kuzoea mapema. Ametrain juzi na jana tu, angefanya zaidi ya alicho kionesha ingekuwa ziada.
 
Alimfanyia kitu mbaya Manula kambinua mpaka katoa hewa chafu siku ile
Wakati akitoa hewa chafu ulikuwepo? au wewe ni tabia zako kutoa hewa chafu hovyo unasingizia wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…