Musonda hamna mchezaji mle, promo nyingi uwezo kisoda, heri ya Makambo na Sogne

Musonda hamna mchezaji mle, promo nyingi uwezo kisoda, heri ya Makambo na Sogne

Biringanya analalamika mnamroga huko instagram
Sawa yule kiungo wenu Sawadogo mwambieni kuna Mkude pale na Mzamiru, Thadeo Lwanga,Fraga walivyo umia na kuondoka hata nyie wenyewe hamuelewi,Akpan nae hamuelewi imekuwaje kwaje kashuka ghafla.
 
Kama haikumizi usingezungumzia hiyo habari ila kwa vile una maumiv endelea kuumia
Btw biringanya analalamika anarogwa sana kule avic town [emoji1787]

Hili Suala Lenu La Kuzurura Linasikitisha Sana Hivi Nyie Mnataka Ubingwa Kweli?? [emoji23] , Af Uchawi Upo Kwa Wachezaji Wenu Akina Mzamiru Mkude Manula M.Hussein Na Kapombe Miaka Nenda Rudi Wanapiga Wenzao Misumari Tu [emoji28]
 
Hao wenye uwezo mdogo wa kufikiri si wako kwenu kama asemavyo aliekuwa semaji lenu ukiwatoa watu watatu waliobakia wote hamna akili
Kwa sasa hivi ni wote huko Yanga hawana akili
 
Attachments

  • Table.jpg
    Table.jpg
    72.9 KB · Views: 2
Sawa yule kiungo wenu Sawadogo mwambieni kuna Mkude pale na Mzamiru, Thadeo Lwanga,Fraga walivyo umia na kuondoka hata nyie wenyewe hamuelewi,Akpan nae hamuelewi imekuwaje kwaje kashuka ghafla.
Hayo ni masuala yao binafsi hawajahi kuja mitandaoni na kulalamika kambi yao inanuka uchawi kama biringanya
 
Hayo ni masuala yao binafsi hawajahi kuja mitandaoni na kulalamika kambi yao inanuka uchawi kama biringanya
Ndiyo mswala yao na wataondoka wengi tu ,huyo Sawadogo tuna muhesabia miezi tu.
 
Back
Top Bottom