joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sawa yule kiungo wenu Sawadogo mwambieni kuna Mkude pale na Mzamiru, Thadeo Lwanga,Fraga walivyo umia na kuondoka hata nyie wenyewe hamuelewi,Akpan nae hamuelewi imekuwaje kwaje kashuka ghafla.Biringanya analalamika mnamroga huko instagram