ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wachezaji wetu wote ni wabovu ndio maana mnaongoza ligi nyieLeo hii takwimu sio kitu tena kwenu?
Shida zako!Wachezaji wetu wote ni wabovu ndio maana mnaongoza ligi nyie
YaaniSasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda...
Kwa sasa tupo nusu ya msimu bado kuna mechi sita za makundi shirikisho pia Kuna FA kwa hizo takwimu alizonazo paka sasa tayari ame deliver kwa 80%.Je kwa ile milioni 400 mliomsajilia kama manvyosema anastahili kudeliver hicho ulichokiandika hapa? Mbona anashindwa na ntibanzonkinza kwa kila kitu magoli+assist
Nyie sina biashara zenu za ngada mnaunganishia humo humo.Yeah na mafuta ya nazi kama kwenye kile kiklip chenu pendwa mlichokitoa
Niamini mimi, kama ungetumia vizuri tafakari usingeniquote mara ya pili.Tafakari vizuri quote yangu.
Nakupa saido vs aziza kiKwa sasa tupo nusu ya msimu bado kuna mechi sita za makundi shirikisho pia Kuna FA kwa hizo takwimu alizonazo paka sasa tayari ame deliver kwa 80%.
Sijui una lingine? Hebu jielimishe kidogo maana kichwani upo mweupe sana hauna unalojua zaidi ya ubishi
Sawa biashara ya kiume nyie vipi mnaopakana mafuta ya nazi huko mnako kalia mwiko?Nyie sina biashara zenu za ngada mnaunganishia humo humo.
Kama umeumia poleNiamini mimi, kama ungetumia vizuri tafakari usingeniquote mara ya pili.
Biashara kiume how?#Ngada FC.Sawa biashara ya kiume nyie vipi mnaopakana mafuta ya nazi huko mnako kalia mwiko?
Nakubaliana na wewe kabisa, yaani mtu anakurupuka huko anakuja hapa kulinganisha mchezaji aliyecheza NBC misimu mitatu na mchezaji mgeni kabisa ambaye Hana hata siku tatu.Kinachofanya Wazungu wapige hatua kubwa kwenye kila wanachokifanya ni kwa sababu watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama mleta mada ni wachache.
na huwa wanahamishwa nchi kila mweziKinachofanya Wazungu wapige hatua kubwa kwenye kila wanachokifanya ni kwa sababu watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama mleta mada ni wachache.
Sasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda...
Eti Simba imesajili reject..mchezaji game ya kwanza kaondoka na mpira..wao hao wao shida tupu..ngoja iendelee kuonyesha tuone panapovuja.
umelewa maandazi weweSasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda?
Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao mbeya city wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8...
We jamaa ni kilaza haswaa tena ni punga wa kutupwa kabisa, uyo Ntibazonkiza unayemfananisha na Musonda ana muda gani kwenye ligi ya Tanzania? Na musonda ana muda gani? Unafikiri mpira ni maji ya ugali yanachemka hapohapo na kusonga?Sasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda...