TANZIA Mussa Aboud Jumbe afariki dunia, usiku wa kuamkia leo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Marehemu Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, ndugu Mussa Aboud Jumbe, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne, Oktoba 21, 2025, huko kwao Migombani, Visiwani Zanzibar.

Marehemu Mussa Aboud Jumbe aliwahi kuhudumu kama Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar kabla ya kutenguliwa na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Aidha, mwaka 2020, alijitokeza kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa chama chake kwa ajili ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.

Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo hii saa 10:00 Alasiri nyumbani kwao Migombani, Zanzibar.
1761029797140.png

Chanzo: Manara TV​
 
View attachment 3491346
Chanzo: Manara TV​

Kwa hiyo Mwinyi almtosa huyu pia kama alivyo fanya kwa Karume.

Inaelekea Mwinyi naye ni ile design ya kutopenda kushindana. Kazoea vya kupewa tu.
 
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Marehemu Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, ndugu Mussa Aboud Jumbe, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne, Oktoba 21, 2025, huko kwao Migombani, Visiwani Zanzibar.

Marehemu Mussa Aboud Jumbe aliwahi kuhudumu kama Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar kabla ya kutenguliwa na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Aidha, mwaka 2020, alijitokeza kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa chama chake kwa ajili ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.

Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo hii saa 10:00 Alasiri nyumbani kwao Migombani, Zanzibar.
View attachment 3491346
Chanzo: Manara TV​
Inna lillahi waina ilayhi rajiun.
 
Heche aende msibani huko nchi ya zanzibar au nako watajaribu kumzuia hakuna kwenda msibani..
 
Back
Top Bottom