Mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Marehemu Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, ndugu Mussa Aboud Jumbe, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne, Oktoba 21, 2025, huko kwao Migombani, Visiwani Zanzibar.
Marehemu Mussa Aboud Jumbe aliwahi kuhudumu kama Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar kabla ya kutenguliwa na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Aidha, mwaka 2020, alijitokeza kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa chama chake kwa ajili ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo hii saa 10:00 Alasiri nyumbani kwao Migombani, Zanzibar.
View attachment 3491346
Chanzo: Manara TV
Inna lillahi waina ilayhi rajiun.Mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Marehemu Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, ndugu Mussa Aboud Jumbe, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne, Oktoba 21, 2025, huko kwao Migombani, Visiwani Zanzibar.