CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Huyu shekh Mussa Al Bique alikuwa mmoja katika machifu au viongozi katika eneo la Kilwa Kisiwani mkoani Lindi kabla ya kuondolewa na Sultan Ali Hasan bin Suleiman na kukimbilia Msumbiji(MOZAMBIQUE).
Wazungu wa kireno walipofika Msumbiji wakashindwa kulitaja jina lake kama lilivyo badala ya Musso Bique wakamuita Moza mbique na ikawa ndio asili ya jina la taifa la Msumbiji.
Infact muanzilishi wa taifa la msumbiji alikuwa Mtanzania shekh Mussa Al Bique.
Hiyo ni miongoni mwa historia utakayo pewa ukifika Kilwa kisiwani moja katika maeneo ya kihistoria hapa Tanzania.