Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejaribu kutafuta nimepata hii.......ngoja nichimbue nijue ilikuwa inaitwaje mwanzo.......
Mussa Al Bikra!
Ngoja maimamu wa Jf waje kukosomea albadili.
1000 mil dollar qn
Kumbe Jf ina maimamu cku hizi? That mean kuna misikiti humu ndani?
Nimeisoma mkuu sema sikuona chochote kinachoelezea kuhusu jina la asili la eneo hilo zaidi ya kwamba imepata jina lake kutoka kwa huyo Sultan wa kiarabu aliekuwa Kilwa Kisiwan na baadae akafukuzwa na Sultan Al Hasan Bin Suleiman.
Kumbe Jf ina maimamu cku hizi? That mean kuna misikiti humu ndani?
baba wa taifa ni nani? mtu aliye na jina lililopewa nchi? haya baba wa Tanganyika nani?
muanzilishi wa msumbiji alitoka kilwa?? tuache utani msumbiji imeanza kukaliwa lini hata mwanzilishi wa taifa awe mtanzania?
jina sio uanzilishi wa taifa bwana na huyo mtu alikuwa maarufu kwakuwa alikuwa trader,labda kama history ya Mozambique inaanzia 10c AD. pili huyo jamaa ni arab blood lined sio wa ndani hana ungindo wala ukilwa......sio mbaya ukiuliza alifukuzwa kisa nini toka kilwa kisha ukatufahamisha......
I appreciate nilichojifunza leo.....sikujua chanzo cha hiki kitu
inawezekana ukilog in ndo ushaingia msikitini,ukpost ndo ka unaswali vile.
Jf nako kuna vituko vyake.
Kama vipi tuka browse kwenye mitandao na vitabu vingine ili tumjue huyo muanzilishi wa taifa la msumbiji.