miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
NIlipojiunga JF siku ya kwanza nilikuwa napost picha kila wakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekee picha mara moja..nakiri huyu jamaa ni mwandishi mzuri wa filamu lakini natamka rasmi kuigiza jamaa hawezi kabisa na aache kabisa kuigiza abaki tu na kazi ya uandishi wa filamu za kibongo.
hivi karibuni niliangalia part 1,2, & 3 ya filamu ambayo yeye mwenyewe ameiandika na kuicheza kama muigizaji mkuu, yaani mr banzi aliyekwenda mjini na kuwakana wazazi wake kabla ya kuokolewa na mchumba wake wa zamani.
ni kichekesho; jamaa hana mvuto wa kuigiza- broken english kama kawa, mwanzo mpaka mwisho(masaa 4) filamu imeigizwa kwenye jumba moja; jamaa kauza sura ile mbaya, mapozi ya kishamba, kanyoa panki ya 1990s, kwa kifupi sura kauza na mademu wengi watampigia...lakini kazi hiyo ni ovyooo...
my take;
huyu jamaa aachane kabisa na kuigiza kwani hana mvuto kabisa na ataharibu hadhi ya tasnia ya filamu za bongo ambayo tayari imepandishwa chati na waigizaji wenye mvuto na wanaokubalika kama
kanumba
ray
mainda
johari
norah
richy
jb
ndauka
wolper
tues
na wengineo kibao wenye mvuto.