Mussa Banzi na sultan Tamba

Mahabati
Pete
Kihongwe nguvu za giza
Mzee wqa busara

alafu kuna wasanii walikuwa wakali sana enzi hizo sijui wamepotelea wapi kama Taff Chuma (Pettit Mugaboniela), blandina wa The Game Of Love, yule mdada wa Mahabati
 
Hapo kwenye nsyuka na mzee wa busara zilikuwa zinantisha sana nilikuwaga Yankee
 
Yap mkuu hata Mimi nilimuona kwenye movies kadhaa, wengi hawakupenda uigizaji wake , japokuwa ni muongozaji na mtunzi mzuri sana kwangu Mimi, Jamaa anajua na ni bonge la mbunifu alinifuraisha sana kwenye movie ya VERONICA
Na wabongo tulivyo kwa kuwa hajui tuka hamisha hasira zetu kwenye mdomo wake.ubinafsi umemmaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…