Tint Alexandre Arnold
Senior Member
- Feb 28, 2019
- 123
- 148
Wekeni picha yake wengine hatumjui.Wanambania bibi wa watu ila yuko poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni picha yake wengine hatumjui.Wanambania bibi wa watu ila yuko poa
Na wabongo tulivyo kwa kuwa hajui tuka hamisha hasira zetu kwenye mdomo wake.ubinafsi umemmaliza.Yap mkuu hata Mimi nilimuona kwenye movies kadhaa, wengi hawakupenda uigizaji wake , japokuwa ni muongozaji na mtunzi mzuri sana kwangu Mimi, Jamaa anajua na ni bonge la mbunifu alinifuraisha sana kwenye movie ya VERONICA