Mussa Camara wa Simba ana mambo ya kitoto sana. Fadlu aanze kumpa nafasi Ally Salum kumtoa wenge

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,329
Reaction score
25,263
Huyu mchekeshaji ana mambo ya kitoto sana. Toka afungwe zile goli mbili za kizembe imani imeshashuka sana.

Baada ya kufahamu kwamba ni mchekeshaji kama kina Steve Nyerere, nimegunduwa kuna muda anakosa seriousness.

Ana mambo ya kitoto not yet matured.

Kocha Fadlu awe anampa nafasi Ally Salum kumtia akili.
 
Musa Camala siyo goal keeper yule ni Nyanda
 
Huyu mchekeshaji ana mambo ya kitoto sana. Toka afungwe zile goli mbili za kizembe imani imeshashuka sana.

Baada ya kufahamu kwamba ni mchekeshaji kama kina Steve Nyerere, nimegunduwa kuna muda anakosa seriousness.

Ana mambo ya kitoto not yet matured.

Kocha Fadlu awe anampa nafasi Ally Salum kumtia akili.
Kwa maoni yangu Ally Salum, hamfikii Camara
 
Musa camara ana makosa madogo sana. ya kurekebisha kweny kiwanja cha mazoezi ,tuendelee kuisupport timu yetu kocha tunaye shida hakuna mchezaji mwenye quality ya kumzidi kagoma au mavambo endapo wanapata injury haya ndio yanayotufelisha
 
Back
Top Bottom