Wangeshambikiri kitambo tuYale makosa yangefanywa na mwana Kilombero sijui ingekuwaje??
Manula kachutama huko hataki kesi na mtuYale makosa yangefanywa na mwana Kilombero sijui ingekuwaje??
Amelewa sifa kwa kupambwa na kuimbwa sana na mashabiki wa Simba. Jana ni kweli kachomesha.Anadaka bila akili ila akitulia ni goolkeeper mzuri Sana na tatizo lake ni kutaka kuwa kama diarra
Musa Camala siyo goal keeper yule ni NyandaHuyu mchekeshaji ana mambo ya kitoto sana. Toka afungwe zile goli mbili za kizembe imani imeshashuka sana.
Baada ya kufahamu kwamba ni mchekeshaji kama kina Steve Nyerere, nimegunduwa kuna muda anakosa seriousness.
Ana mambo ya kitoto not yet matured.
Kocha Fadlu awe anampa nafasi Ally Salum kumtia akili.
Lakred ni goal keeper,Lakred anaweza akawa bora zaidi.
Mtoto wakiume unakuaje mmbea kias hiki asee
Kwa maoni yangu Ally Salum, hamfikii CamaraHuyu mchekeshaji ana mambo ya kitoto sana. Toka afungwe zile goli mbili za kizembe imani imeshashuka sana.
Baada ya kufahamu kwamba ni mchekeshaji kama kina Steve Nyerere, nimegunduwa kuna muda anakosa seriousness.
Ana mambo ya kitoto not yet matured.
Kocha Fadlu awe anampa nafasi Ally Salum kumtia akili.