shahid365
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 518
- 420
Unamaanisha Financial Fair PlayChombo kinachohusika na Financial Affair za media house iwachunguze E Medias.
Matamasha yao yote n Buree..
Matangazo sio kivile. Kawaida tu..
Wanasajili giant presenterz. Pesa wanatoa wapi.
Isije kuwa wanatumia kikubwa tofaut na wanachoingiza. Km n hivi bas wapigwe fine na azabu kaliiiiiii...