Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Sports Arena haina ubora wa kuifikia Sports head quarter.
Fujo tu. Hicho kipindi ili kinoge waweke watangazaji wawili wanaoelewa maana ya uchambuzi wa soka sio uropokaji,upayukaji,kutaka kujenga jina
Kila mmoja anataka kuongea na wakati muda ni mdogo.
Hivyo inabidi kupayuka ili usikike, na unamwahi mwenziyo kabla hajaongea, au ukiona anaongea sana unamkatisha.
Alikuwa redio gani huyoNaona Wasafi wanazidi kubomoa ngome za wengine tu. Usajili wa leo ndiyo huu. Ni wazi kwa sasa Sports Arena haina mpinzani
Kitenge ndio hua simuelewi kabisa anataka aongee peke yake hawapi nafasi wenzakeHao waliopo wenyewe naona hawapeani muda wa kutosha, sasa wanazidi kuongeza tu!
Kuna mtu kama George ana madini mengi lakini muda anaopewa ni mdogo kwa sababu wako wengi na matangazo pia yanakula nafasi.
Enzi hizo watangazaji walikua wanafahamu maana ya utangazaji ilikua raha sana kusikiliza vipindi vyao ila sasa siku hizi tuna watafuta followers insta na you tube balaa tupu
Kitenge ndio hua simuelewi kabisa anataka aongee peke yake hawapi nafasi wenzake
Wewe ndiyo umekunywa mipombe halafu unawapa pole watanzania.Happy birthday ndugu Watanzania wenzangu wote ambao leo mmeenda kazini na bonye la hangover. Supu haipandi wala nini, dawa ni kuacha pombe sio kunywa supu
Duh, mijipombe gani tena numekunywa mi mwanafunzi wa Sunday School? Utaenda kwa shetani, shauri yakoWewe ndiyo umekunywa mipombe halafu unawapa pole watanzania.