Mussa Mwakissu atua Wasafi FM

Mussa Mwakissu atua Wasafi FM

Enzi hizo watangazaji walikua wanafahamu maana ya utangazaji ilikua raha sana kusikiliza vipindi vyao ila sasa siku hizi tuna watafuta followers insta na you tube balaa tupu
Kila mmoja anataka kuongea na wakati muda ni mdogo.

Hivyo inabidi kupayuka ili usikike, na unamwahi mwenziyo kabla hajaongea, au ukiona anaongea sana unamkatisha.
 
Hao waliopo wenyewe naona hawapeani muda wa kutosha, sasa wanazidi kuongeza tu!

Kuna mtu kama George ana madini mengi lakini muda anaopewa ni mdogo kwa sababu wako wengi na matangazo pia yanakula nafasi.
Kitenge ndio hua simuelewi kabisa anataka aongee peke yake hawapi nafasi wenzake
 
Enzi hizo watangazaji walikua wanafahamu maana ya utangazaji ilikua raha sana kusikiliza vipindi vyao ila sasa siku hizi tuna watafuta followers insta na you tube balaa tupu

Tatizo sana hili, vipindi vimekuwa havina mpangilio, kila mmoja anakurupuka tu.

Kuna siku nilikuwa nasikiliza kipindi cha Sports HQ, walikuwa wamemwalika mchezaji wa zamani, sasa anaulizwa swali moja, akiwa anaendelea kujibu anakatishwa anaulizwa lingine, mara topic inabadilika kabla nyingine haijaisha.
 
Back
Top Bottom