Mussa Mwakissu atua Wasafi FM

Hakika muda mnao wa kutosha sana , hivi kuna mchambuzi bongo wa kunichambulia soka la dunia hii nikamsikiliza kweli ?

Yaani Mimi ni wa kusikiliza uchambuzi wa Ndanda na Namungo kweli?
 
afadhali wapungue walikua wengi sana pale mpaka kero kuwasikiliza ila sasa ivi nitaenjoi madini ya oscar lea na jemedari.....hakuna kukatishana tena mwenzio akiwa anaongea
nitafurahi wakibaki wanne tu.....
kipindi kuwa na watu wachache ni raha sana cheki empire mtu mbili tu unaenjoi mno kuwasikiliza
 
Fujo tu. Hicho kipindi ili kinoge waweke watangazaji wawili wanaoelewa maana ya uchambuzi wa soka sio uropokaji,upayukaji,kutaka kujenga jina
Afadhali na wewe umeliona.
Ni afadhali wagawane siku ndipo itajulikana mbichi na mbivu
 
pesa ipi??
unajua kama jonijo alikua halipwi
Kwahiyo atafanya kazi bure? Na kwanini mimi nijue jonijo kuwa alikuwa analipwa au halipwi kwan mimi meneja wake? Je wewe unaweza fanya kazi bure utawezaje kumudu gharama za maisha ya kila siku? Nacho amini huyo kawekewa dau kubwa ndio maana kaenda huko usafini.
 
kwa ubora upi alionao mpaka awekewe dau kubwa...
 
Mapenzi sio somo usome kwa kitabu ,mapenzi ndio yaliyofanya harmonise amfukuzishe mwarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…