Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kipindi kimejaa watu kama mdahalo wa kilimo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mtangazaji tu, sio mchambuzi.Kitenge ndio hua simuelewi kabisa anataka aongee peke yake hawapi nafasi wenzake
pesa ipi??Wacha watu wanafuata fuedha.
Afadhali na wewe umeliona.Fujo tu. Hicho kipindi ili kinoge waweke watangazaji wawili wanaoelewa maana ya uchambuzi wa soka sio uropokaji,upayukaji,kutaka kujenga jina
Kwahiyo atafanya kazi bure? Na kwanini mimi nijue jonijo kuwa alikuwa analipwa au halipwi kwan mimi meneja wake? Je wewe unaweza fanya kazi bure utawezaje kumudu gharama za maisha ya kila siku? Nacho amini huyo kawekewa dau kubwa ndio maana kaenda huko usafini.pesa ipi??
unajua kama jonijo alikua halipwi
Naona umekuja kuwakeraHappy birthday ndugu Watanzania wenzangu wote ambao leo mmeenda kazini na bonye la hangover. Supu haipandi wala nini, dawa ni kuacha pombe sio kunywa supu
Karibu sana
kwa ubora upi alionao mpaka awekewe dau kubwa...Kwahiyo atafanya kazi bure? Na kwanini mimi nijue jonijo kuwa alikuwa analipwa au halipwi kwan mimi meneja wake? Je wewe unaweza fanya kazi bure utawezaje kumudu gharama za maisha ya kila siku? Nacho amini huyo kawekewa dau kubwa ndio maana kaenda huko usafini.
huo huo walio uona wasafikwa ubora upi alionao mpaka awekewe dau kubwa...
Hzo takataka zote hakuna hata mojaSports Arena haina ubora wa kuifikia Sports head quarter.
Hesabu watu waliotoka Sports HQ kwenda ArenaKumekucha
🤣🤣🤣🤣🤣Mapenzi sio somo usome kwa kitabu ,mapenzi ndio yaliyofanya harmonise amfukuzishe mwarabu.