Mussa wa uswazi yuko wapi?

Mussa wa uswazi yuko wapi?

Status
Not open for further replies.
Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,330
Ma GT
Naomba kuuliza maana busara pia zinasema kuuliza si ujinga. Hivi yule mtangazaji aliekuwa anatangaza kipindi cha Uswazi EATV yuko wapi?

Kampuni hiyo iko wapi? Na maanisha makao yake. Na mwenye sababu za kukimbia kwake anaweza kuzimwaga hapa kama itawezekana.

Nackia anapga mzigo cloudz
jamaa nimemiss kweli, jamaa alikuwa mzuri sana kwenye kuendesha kipindi,
saizi wamemuweka kilaza gani sijui kipindi kinaboa sanatuu!

Ma GT

Naomba kuuliza maana busara pia zinasema kuuliza si ujinga. Hivi yule mtangazaji aliekuwa anatangaza kipindi cha Uswazi EATV yuko wapi?

Kijana ametimuliwa sababu ambazo ni ngumu kuzithibitisha labda time tu ndio itasema kweli...uteja wa unga....na kusadikika tabia za ushoga!!!mbaya sana

Kijana ametimuliwa sababu ambazo ni ngumu kuzithibitisha labda time tu ndio itasema kweli...uteja wa unga....na kusadikika tabia za ushoga!!!mbaya sana

Yaani unamfukuza mtu kazi kisa ni shoga?Kama hzi sababu zitakuwa kweli, basi huu ni uonevu. ushoga una-affect vp utendaji wa kazi?? Labda hilo la unga bt sio kuhisi mtu ni shoga halafu unamtimua kazi. BTW mashoga pia ni watu kama sisi.

Kipindi siku hizi kinaboa sana!
Kinaendeshwa na mtangazaji ambaye ni invisible! Sauti yake mbayaaa

Kampuni hiyo iko wapi? Na maanisha makao yake. Na mwenye sababu za kukimbia kwake anaweza kuzimwaga hapa kama itawezekana.

kampuni inaitwa ONE PLUS communication ni ya Ruge mutahaba ipo mikocheni B ni PR agency MD wake ni fina mango a.k.a kimada wa Ruge..

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom