Mussa Zungu: Ni kweli tozo za miamala zipo juu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya

Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia ametoa maagizo kwamba litizamwe wapi tulipokosea.

Hii kodi tumeiweka kwa ajili ya wenye uwezo, kati ya Watu Mil. 50 wanaomiliki line za simu, Watu Mil. 20 tumewatoa hawalipi hii kodi, wanaolipa ni Mil. 30 ambao tunaamini wana uwezo kiasi na tunajuaje wana uwezo ni kwa kupitia TCRA.

Tukisema Tshs. 50 kwa Watu Mil. 30 (wanaolipa tozo za simu) tunapata Bil. 540. Tukiweka Tshs 100 tunapata Tril. Moja na Bil. 80 haya ni mapato ambayo yatasaidia kuchochea maendeleo ya Nchi yetu.

Kuwa na ada ya simu ni uzalendo leo hatuandiki barua, hatuna gharama ya stempu, leo Mtu yupo Mwanza anauliza Soko la Pugu ni shilingi ngapi, anauliza soko la samaki ni shilingi ngapi, hii ni nafasi nzuri tuwe na kodi ya uzalendo.

My Take
Kwa wabunge kama hawa ilikuwa sahihi Magufuli kuwa analishauri bunge badala ya bunge kumshauri yeye. Hatuna bunge
 
Huyu jamaa ni wa ovyo sana tena sana...

Yani nchi hii ni minerals zote tulizo nazo, na vivutio vya utalii tumeshindwa kujenga nchi hii mpaka watukamue. Kuna nchi zina deposite ya madini aina moja tu, lakini watu wanasoma bure, huduma ya afya bora sisi tuna kila aina ya madini lakini serikali ya CCM kwa miaka zaidi ya 50 haijui ifanye nini ili tuendeleee.

Kila awamu wanatudanganya oooh gas asilia ipaisha uchumi, oooh inabidi tukatwe kodi ya uzalendo.
 
Kunasiku nilisema utalii ukitumika vizuri utaikwamua nchi, mfano kwa sasa hivi gharama za utalii nikubwa na zinapelekea kupata mapato kiduchu

Suluhisho ni kuwa na package moja tu mfano Dolla 500 ambayo mtalii akiilipia ndani ya wiki mbili anaweza tembelea kivutio chochote kile kilichopo Tanzania na Zanzibar akitaka kuongeza siku baada ya siku 21 analipia Tena dolla 500

Tozo zikiwa ndogo watalii watakuja wengi sababu Kuna unafuuu lakin Kilimanjaro bei yake, ngorongo bei yake, Serengeti bei yake, Zanzibar bei yake angalia huu usumbufu watalii wanaoupata ni wazi viongozi wa ccm sio wabunifu hata kidogo
 
Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya

Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia ametoa maagizo kwamba litizamwe wapi tulipokosea.

Hii kodi tumeiweka kwa ajili ya wenye uwezo, kati ya Watu Mil. 50 wanaomiliki line za simu, Watu Mil. 20 tumewatoa hawalipi hii kodi, wanaolipa ni Mil. 30 ambao tunaamini wana uwezo kiasi na tunajuaje wana uwezo ni kwa kupitia TCRA.

Tukisema Tshs. 50 kwa Watu Mil. 30 (wanaolipa tozo za simu) tunapata Bil. 540. Tukiweka Tshs 100 tunapata Tril. Moja na Bil. 80 haya ni mapato ambayo yatasaidia kuchochea maendeleo ya Nchi yetu.

Kuwa na ada ya simu ni uzalendo leo hatuandiki barua, hatuna gharama ya stempu, leo Mtu yupo Mwanza anauliza Soko la Pugu ni shilingi ngapi, anauliza soko la samaki ni shilingi ngapi, hii ni nafasi nzuri tuwe na kodi ya uzalendo.

My Take
Kwa wabunge kama hawa ilikuwa sahihi Magufuli kuwa analishauri bunge badala ya bunge kumshauri yeye. Hatuna bunge
Pale ambapo wabunge wanageuka kuwa watetezi wa serikali badala ya kuwa watetezi wa wananchi
 
Kunasiku nilisema utalii ukitumika vizuri utaikwamua nchi, mfano kwa sasa hivi gharama za utalii nikubwa na zinapelekea kupata mapato kiduchu

Suluhisho ni kuwa na package moja tu mfano Dolla 500 ambayo mtalii akiilipia ndani ya wiki mbili anaweza tembelea kivutio chochote kile kilichopo Tanzania na Zanzibar akitaka kuongeza siku baada ya siku 21 analipia Tena dolla 500

Tozo zikiwa ndogo watalii watakuja wengi sababu Kuna unafuuu lakin Kilimanjaro bei yake, ngorongo bei yake, Serengeti bei yake, Zanzibar bei yake angalia huu usumbufu watalii wanaoupata ni wazi viongozi wa ccm sio wabunifu hata kidogo
Yani hawajui wafanye nini ili kutatua tatizo wanajiita madokta wa uchumi
 
Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya

Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia ametoa maagizo kwamba litizamwe wapi tulipokosea.

Hii kodi tumeiweka kwa ajili ya wenye uwezo, kati ya Watu Mil. 50 wanaomiliki line za simu, Watu Mil. 20 tumewatoa hawalipi hii kodi, wanaolipa ni Mil. 30 ambao tunaamini wana uwezo kiasi na tunajuaje wana uwezo ni kwa kupitia TCRA.

Tukisema Tshs. 50 kwa Watu Mil. 30 (wanaolipa tozo za simu) tunapata Bil. 540. Tukiweka Tshs 100 tunapata Tril. Moja na Bil. 80 haya ni mapato ambayo yatasaidia kuchochea maendeleo ya Nchi yetu.

Kuwa na ada ya simu ni uzalendo leo hatuandiki barua, hatuna gharama ya stempu, leo Mtu yupo Mwanza anauliza Soko la Pugu ni shilingi ngapi, anauliza soko la samaki ni shilingi ngapi, hii ni nafasi nzuri tuwe na kodi ya uzalendo.

My Take
Kwa wabunge kama hawa ilikuwa sahihi Magufuli kuwa analishauri bunge badala ya bunge kumshauri yeye. Hatuna bunge
Kuna wakati natami niwe invisible monster nitoe s9mo kwa watu Kama Zungu la unga, Jobless, Covid-19 na mijitu ya aina hiyo
 
Kama lina tija nao wabungwe walipwe posho kwa miamala ya simu.. mbona simpo tu.
 
Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya

Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia ametoa maagizo kwamba litizamwe wapi tulipokosea.

Hii kodi tumeiweka kwa ajili ya wenye uwezo, kati ya Watu Mil. 50 wanaomiliki line za simu, Watu Mil. 20 tumewatoa hawalipi hii kodi, wanaolipa ni Mil. 30 ambao tunaamini wana uwezo kiasi na tunajuaje wana uwezo ni kwa kupitia TCRA.

Tukisema Tshs. 50 kwa Watu Mil. 30 (wanaolipa tozo za simu) tunapata Bil. 540. Tukiweka Tshs 100 tunapata Tril. Moja na Bil. 80 haya ni mapato ambayo yatasaidia kuchochea maendeleo ya Nchi yetu.

Kuwa na ada ya simu ni uzalendo leo hatuandiki barua, hatuna gharama ya stempu, leo Mtu yupo Mwanza anauliza Soko la Pugu ni shilingi ngapi, anauliza soko la samaki ni shilingi ngapi, hii ni nafasi nzuri tuwe na kodi ya uzalendo.

My Take
Kwa wabunge kama hawa ilikuwa sahihi Magufuli kuwa analishauri bunge badala ya bunge kumshauri yeye. Hatuna bunge
Pumbavu kabisa
 
Hivi ni zungu la nini hili jamaa, maafrika mengine mapuuzi kweli2.
 
ZUNGU.jpg

GHARAMA ZA KUTOA PESA KWA NJIA YA MPESA.jpg
 
Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya

Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia ametoa maagizo kwamba litizamwe wapi tulipokosea.

Hii kodi tumeiweka kwa ajili ya wenye uwezo, kati ya Watu Mil. 50 wanaomiliki line za simu, Watu Mil. 20 tumewatoa hawalipi hii kodi, wanaolipa ni Mil. 30 ambao tunaamini wana uwezo kiasi na tunajuaje wana uwezo ni kwa kupitia TCRA.

Tukisema Tshs. 50 kwa Watu Mil. 30 (wanaolipa tozo za simu) tunapata Bil. 540. Tukiweka Tshs 100 tunapata Tril. Moja na Bil. 80 haya ni mapato ambayo yatasaidia kuchochea maendeleo ya Nchi yetu.

Kuwa na ada ya simu ni uzalendo leo hatuandiki barua, hatuna gharama ya stempu, leo Mtu yupo Mwanza anauliza Soko la Pugu ni shilingi ngapi, anauliza soko la samaki ni shilingi ngapi, hii ni nafasi nzuri tuwe na kodi ya uzalendo.

My Take
Kwa wabunge kama hawa ilikuwa sahihi Magufuli kuwa analishauri bunge badala ya bunge kumshauri yeye. Hatuna bunge
Hapo hakuna bunge ni genge la waharifu
 
Hivi hilo jina Zungu, ndio surname yake au ni a.k.a tu.
 
Hawa viongozi tatizo lao ni hili..

Yawezekana hii kodi ni kweli huko nchi nyingine wanaifanya so wao wakaona ni nzuri wakiileta kwetu, shida sasa inaanzia hapaa..
Wakiileta kwetu wananchi na wao viongozi wanataka % kadhaa za kipigaji, wanacopy na kupaste bila kuchambua hali halisi ya maisha ya watanzania wengi.

Sasa ukijumlisha hapo unakutana na majanga matupu bahati mbaya zaidi sasa, wabunge inabidi wawe upande wa serikali muda wote, so mwananchi hana mtetezi.
 
Back
Top Bottom