Mussa Zungu: Ni kweli tozo za miamala zipo juu

Ndo wabunge wetu hawa, mara kumi yule mbunge aliyeshauri bange iuzwe kama bidhaa nyingine ili ikatiwe kodi!
 
Ndo wabunge wetu hawa, mara kumi yule mbunge aliyeshauri bange iuzwe kama bidhaa nyingine ili ikatiwe kodi!
 
Ndo wabunge wetu hawa, mara kumi yule mbunge aliyeshauri bange iuzwe kama bidhaa nyingine ili ikatiwe kodi!
 
Ndo wabunge wetu hawa, mara kumi yule mbunge aliyeshauri bange iuzwe kama bidhaa nyingine ili ikatiwe kodi!
 
The road to hell is paved with good intention.
 
Binafsi nipo kwenye sekta ya utalii, lakini sijawahi kumsikia mgeni akilalamika kwanini kusiwe na one price as entrance fees to all parks and attractions. Kumbuka, cost nzima sio entrance tu, hapo wanachoweka cha juu sana ni ma tour operator na hotel anayokaa ndani ya mbuga. Hakuna mgeni aliekuja TZ kutembea mbugani akashindwa $100 entrance to have a lifetime experience.

Halafu, serikali haifanyi kazi kama tour operator. Wageni kwa asilimia kubwa sana, wakienda pale huwa tayari wana package walizonunua kutoka kwa tour operator, sasa usumbufu gani unaozungumzia hapo wakati wao wanalipa kwa tour operator halafu tour operator ndio analipa kwa serikali?
 
Kwa kweli hatuna wabunge wala wataalamu wa kufikiria nje ya box jinsi ya kutafuta vyanzo vya mapato kwa serikali..
Inasikitisha sana sana sana..
 
Natural resource curse
 
Tatizo Mwigulu, jambo lolote la kukera mpe Mwigulu atalizidisha, na mwenyewe hutabasamu mkilalamika!
 
Kama tungekua na katiba inayompa nguvu mwananchi kumuwajibisha kiongozi Kama huyu saa hizi angekua anacheza na wajukuu tu jitu limeleta mawazo ya kipumbavu alafu linaishia kusema tumekosea hakuna kinachofanyika
Kiufupi Tanzania tuna wabunge wasiotambua majukumu yao wanajisahau mbaya zaidi katiba ya 1977 haijaweka mpaka ulio wazi kati ya watendaji wa serikali (executive) na bunge kwaiyo wabunge wanajiona nao ni watendaji sio wawakilishi wa wananchi ndio maana asilimia kubwa wao ni kusifia na kujipendekeza kwa serikali wakivizia uwaziri. Mi nadhani imefikia sasa kufuta kabisa uwaziri tubaki na makatibu wakuu ambao sio wabunge na sio wanasiasa wewe pure watendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…