Pre GE2025 Mussa Zungu: Rasmi sasa tumeanza Ajenda ya Samia 2025

Pre GE2025 Mussa Zungu: Rasmi sasa tumeanza Ajenda ya Samia 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu.

Musa Azan Zungu
Mbunge, Ilala (CCM)

============ For English Audience Only=============​

"We officially begin the Samia 2025 agenda today in our Ilala municipality. We will not be influenced by anyone nor swayed by anyone; we have decided to support and defend a leader who stands for unity in our nation President Samia" said Musa Azan Zungu, Member of Parliament, Ilala (CCM)
 
Walioshiba ndio wanahamasisha wenye njaa na wakosa ajira kusema Saa100 , 2025.
 
Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu.

Musa Azan Zungu
Mbunge, Ilala (CCM)
Huyu Zungu ajiongelee yeye mwenyewe. Je, yuko mioyoni mwa wanaIlala wote kwamba wanampenda Samia? Yeye aendelee tu kulamba taratibu mshahara wa naibu spika mil. 25 hasitudanganye.
 
Kabisa, hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki kwenye chaguzi za kupuuzi.
Tindo, ukisusa wenzio ndiyo wanapita kilaini bora piga kura zikiwa nyingi watashidwa kuiba.
 
Tindo, ukisusa wenzio ndiyo wanapita kilaini bora piga kura zikiwa nyingi watashidwa kuiba.

Hata nyingi Bado ni kazi bure maana Sasa hivi hawaibi Bali wanapora mchakato. Ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi Ili kupata mabadiliko ya kweli. Lakini kwenda kwenye kituo Cha kura eti ziwe nyingi washindwe kuiba, ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Back
Top Bottom