Mussa Zungu: Sioni sababu ya Wasiohusika na mechi ya Simba kuzungumza zaidi humu ndani (Bungeni)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema haoni sababu ya baadhi ya wabunge wasiokuwa na uhusiano na Klabu ya Simba kuwa ndio wanaozungumza zaidi kuhusu mechi ya Simba wakati mchezo huo umepangwa kuchezwa kesho. Ametoa kauli hiyo leo Bungeni wakati wa maswali na majibu.

Your browser is not able to display this video.
 
Wanaoukuza msiba wa kesho ni simba wenyewe,
1. Meneja wa uwanja hawamtaki,
2. Mchungaji Mwamposa ndani ya uwanja,
3. Wasiohusika na simba wasije uwanjani,
Yaani vioja juu ya vioja
Ole wenu kesho si mbali
 
Badala ya kuongelea vitu vya maana ๐Ÿ˜ณ !
Mechi ya mpira wa miguu una matokeo matatu :- kushinda, kushindwa au sare !
Kwa mechi ya kesho timu moja ni lazima itoke mashindanoni kama ikifungwa na kushindwa !

Blah blah hazichezi mupira ni wachezaji na kocha wao na utayari wao wa kwenye mechi ndio utakaoamua hiyo mechi !

Labda na kidogo sana Ndumba !
Na Ndumba hakuna siye zijua Mu Duniani !
Kwahiyo kesho ni kivumbi na jasho !!
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ! Waangalie sana dakika zile za mwisho mwisho ya mipira mirefu ya kushtukiza langoni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„๐Ÿ™ !

Yule Mnigeria wao hanaga huruma yule ๐Ÿ˜ณ ! Na anaonekana ni mlozi kweli kweli !
Mambo ya Ulozi ulozi anayajua sana !
Ngoja Tusubiri tuone kesho ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™
 
Safi kabisa, Utopwinyo Wapambane na Hali YAO
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ